Ibenge awatega mastaa Azam, afichua usajili atakaoufanya

KOCHA Mkuu wa Azam FC, Florent Ibenge amesema atafanya usajili itakapohitajika,  lakini anaamini kikosi kilichopo ni bora kutokana na kumaliza nafasi ya tatu na kupata nafasi ya ushiriki michuano ya kimataifa. Ibenge amefunguka hayo muda mchache baada ya kusaini mkataba wa kuitumikia klabu hiyo, huku akiweka wazi anaenda kukaa na wachezaji ili waelewe nini anakitaka…

Read More

Huu ndio umuhimu wa elimuhisia kwenye mfumo wa elimu

Dar es Salaam. Nimekuwa nikishirikiana na shule mbalimbali kuutazama mchakato wa ujifunzaji na mbinu wanazotumia, kumwezesha mwanafunzi kufikia malengo yanayobainishwa na mtalaa. Katika kutekeleza majukumu yao, walimu wanakabiliana na changamoto mbalimbali.  Kwa mfano, masuala kama ukosefu wa mazingira wezeshi ya kufundishia, uhaba wa vifaa vya kufundishia, matatizo ya nidhamu kwa wanafunzi yanachangia, kwa kiasi kikubwa,…

Read More

THE ROYAL TOUR YAZIDI KUIFUNGUA SEKTA YA UTALII. 

……….. Na Mwandishi wetu  Filamu ya The Royal Tour imezidi kuleta matokeo chanya katika sekta ya Utalii kutokana na mwamko mkubwa kwa wawekezaji hususan wa Hotel za kitalii kuendelea kuwekeza kwenye maeneo mbalimbali hasa kwenye Hifadhi za Taifa ili kwendana na kasi kubwa ya watalii wanaoingia nchini. Akizungumza baada ya kutembelea Hoteli ya Serengeti Explore…

Read More

Mashirika binafsi toeni huduma katika halmashauri zote

Serikali Mkoani Geita imeyataka Mashirika yasiyokuwa ya Kiserikali kuhakikisha wanashirikiana na Serikali katika kutatua changamoto mbalimbali ikiwemo changamoto za kiuchumi , kimaendeleo na kiutamaduni sambamba na kulinda Mila na Desturi za Kitanzania. Hayo yameelezwa na Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Geita Dkt. Elfasi Msenya katika Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Mashirika yasiyo ya kiserikali (NGOs)…

Read More

Uhusiano kati ya CCM, CPC fursa ya kutangaza utalii

Unguja. Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Dk Mohamed Said Dimwa, amesema kuimarika kwa uhusiano wa kisiasa na kiuchumi kati ya chama hicho na Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) ni fursa kwa Zanzibar kutangaza sekta ya utalii kimataifa. Amesema hayo katika mazungumzo na ujumbe maalumu wa CPC yaliyofanyika ofisini kwake Kisiwandui,…

Read More

Afariki kwenye ajali ya moto akiwa kibandani

Njombe. Mkazi wa mtaa wa sekondari uliopo kata ya Maguvani halmashauri ya mji wa Makambako wilayani Njombe,  Yohana Kilowoko (37) amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Mei 26, 2025 baada ya kulala na jiko la mkaa kwenye chumba ambacho amekuwa akifanyia biashara na kusababisha nyumba kuwaka moto. Hayo yamesemwa leo Mei 26,2025 na Mwenyekiti wa…

Read More