
Makada wa CCM Ileje mtegoni
Songwe. Chama Cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Ileje, Mkoani Songwe, kimesema kitawafikisha kwenye vikao vya maadili ya chama hicho makada wanaojipitisha kwa lengo la kutaka nafasi za ubunge na udiwani kabla ya wakati. Makada hao watafikishwa kwenye vikao vya kamati ya maadili kwa utaratibu utakaohusisha upokeaji wa tuhuma dhidi yao wanaokiuka miongozo ya chama hicho,…