Wafanyakazi wanavyoweza kudhibiti maradhi ya kisukari

Ugonjwa wa kisukari unahitaji udhibiti wa makini wa lishe, kwani chakula kinachochaguliwa na jinsi kinavyoliwa kinaweza kuwa na athari kubwa kwa kiwango cha sukari mwilini. Hivyo basi, kwa wafanyakazi wenye kisukari wanapaswa kuwa na mpango wa lishe ili kudhibiti hali hii na kuendelea kuwa na afya bora. Mpango huu unahusisha kula milo mikuu mitatu kwa…

Read More

Axel Witsel bado yupo sana Atletico Madrid

KIUNGO Axel Witsel, 35, ambaye amerejea tena kutoka kustaafu ili kuichezea Ubelgiji katika michuano ya Euro, amefikia makubaliano ya kuongeza mkataba mpya wa kuendelea kusalia kwenye viunga vya Atletico Madrid. Mabosi wa Atletico wamevutiwa na kiwango cha Witsel alichoonyesha msimu uliomalizika ambapo alicheza mechi 51 za michuano yote. NEWCASTLE inapambana kuhakikisha inaipata saini ya beki…

Read More

Madagascar v Mauritania suluhu ya kwanza CHAN

TIMU za Madagascar na Mauritania zilitoka sare ya bila kufungana (0-0) katika mechi ya Kundi B ya Michuano ya CHAN PAMOJA 2024 iliyopigwa Jumapili usiku kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa. Kundi hili lenye timu tano linaongozwa na wenyeji Tanzania wenye pointi tatu baada ya kuichapa Burkina Faso kwenye mchezo wa ufunguzi wa michuano hiyo ambayo…

Read More

Kasongo: Kuna makosa saba kila baada ya dakika 90

OFISA Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi (TPLB), Almasi Kasongo amesema kutegemea kamati ya waamuzi bado ni tatizo tofauti na mataifa mengine yaliyoendelea, wakati akichangia mjadala unaohusu, ‘Makosa ya waamuzi Ligi Kuu Bara, nini kifanyike? Kasongo ameyasema hayo leo Jumatano Februari 26, 2025 kupitia mjadala kwa njia ya mtandao wa Mwananchi X space wenye Mada…

Read More