
Kuhusu suala la Mpanzu Simba lipo hivi
HUKO miluzi ni mingi kuhusiana na nyota wa Simba, Elie Mpanzu, ambako mijadala mbalimbali inaendelea wakati huu ambao ishu za usajili katika timu mbalimbali zimetaladadi, ambapo mastaa kibao wanabadili timu huku wapya wakisajiliwa kwa ajili ya msimu ujao wa mashindano ndani na nje ya nchi. …