‘Mageuzi makubwa sekta ya ardhi yanakuja’ Waziri Silaa

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Jerry Silaa amesema Mageuzi makubwa Sekta ya ardhi yanakuja baada ya kushuhudia utiaji saini kati ya Wizara yake na Mtaalamu Mshauri wa Mradi Mkubwa wa Kuimarisha na Kuboresha Miundombinu ya Upimaji na Ramani (LDI) wenye thamani takribani Bil. 150 za kitanzania. Waziri Silaa amebainisha kuwa Mradi huo…

Read More

MKAKATI: CCM IKIHITIMISHA KAMPENI KWA KISHINDO

  Chama Cha Mapinduzi (CCM) kitafunga kampeni zake za uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa kishindo, kwa namna ile ile kilivyozindua. Hii itadhihirika tarehe 26 Novemba 2024, wakati Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, atakapoongoza uhitimishaji huo. Balozi Nchimbi anatarajiwa kuhitimisha kampeni hizo za CCM kwa Mkoa wa Dar es Salaam katika…

Read More

UKARABATI WA SOKO LA KARIAKOO WAFIKIA ASILIMIA 93

UJENZI wa ukarabati wa Soko la Kariakoo umefikia asilimia 93 kukamilishwa tayari kuwarejesha wafanyabiashara kwenye soko hilo ambapo hadi sasa hatua kadhaa zimeendelea kuchukuliwa ikiwemo utambuzi na uhakiki wa waliokuwa wafanyabiashara kabla ya janga la moto. Akizungumza na waandishi wa habari leo Aprili 22, 2024 jijini Dar es Salaam, Kaimu Meneja Mkuu wa Shirika la…

Read More

Dk Ndugulile atakumbukwa kwa misimamo yake

Dar es Salaam. Aliyekuwa mbunge wa Kigamboni na Mkurugenzi mteule wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Kanda ya Afrika, Dk Faustine Ndugulile, alikuwa mtu mwenye msimamo, aliyesimamia maadili ya kitaaluma. Dk Ndugulile (55) alifariki dunia usiku wa kuamia jana Jumatano, Novemba 27, 2024 nchini India alikokuwa akipatiwa matibabu. Wakati Tanzania ilipochukua njia isiyo ya kawaida…

Read More

Prince Dube awakuna Wananchi mapemaa

WAKATI zimesalia saa chache kabla ya kikosi cha Yanga kutambulishwa kwa mashabiki katika sherehje za kuhitimisha Kilele cha Wiki ya Mwananchi, mashabiki wa klabu hiyo mapema tu wameanza kumtja straika mpya wa timu hiyo, Prince Dube wakidai ndiye usajili uliowakuna zaidi. Mashabiki hao wamesema Dube ndioye aliyebeba kwa sasa matumaini yao katika eneo la mbele…

Read More