
Leverkusen yaishushia kichapo cha 4-0 Feyenoord – DW – 20.09.2024
Mabingwa hao wa Ujerumani walichukua uongozi katika dakika ya tano ya mchezo baada ya Wirtz kupiga mkwaju maridadi kutoka umbali wa karibu yadi 20. Mabao mengine ya Leverkusen yalifungwa na Alex Grimaldo kabla ya mlinda lango wa Feyenoord Timon Wellenreuther kujifunga mwenyewe kunako dakika ya 45 ya mchezo. Wirtz mwenye umri wa miaka 21 alituzwa…