Jenerali Moses Ali anavyoutaka tena ubunge akiwa na miaka 86
Dar es Salaam. Madaraka matamu, ndiyo unavyoweza kusema baada ya Naibu Waziri Mkuu wa Pili na Mbunge wa Jimbo la Adjumani Magharibi mwa nchi ya Uganda, Jenerali Moses Ali (86), kusisitiza kuwa bado anautaka ubunge ili atumikie wananchi. Kauli ya Jenerali Ali inakuja wakati ambao wakosoaji wamekuwa wakisema kuwa umri wake umeenda akimzidi hata Rais…