Mbowe: Miradi ya maendeleo kwa wananchi si hisani

Dar/Siha. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe amewataka Watanzania kuacha kutukuza miradi ya maendeleo wanayojengewa na Serikali kwa  kuwa ni wajibu wao na si hisani. Mbowe ametoa kauli hiyo leo Julai 14, 2024 alipohutubia mkutano wa hadhara katika Kata ya Nasai wilayani Siha, Mkoa wa Kilimanjaro. Mbowe alionekana kukerwa na kitendo…

Read More

Huawei and Vodacom Empower Tanzania Startups with Transformative Learning Tour

By Our Correspondent Huawei, in partnership with Vodacom, has successfully concluded a week-long exchange learning program for seven promising Tanzanian startups. This initiative, part of the Vodacom Digital Accelerator Program, is aimed at fostering innovation and entrepreneurship in the country by providing opportunities for startups to learn from global leaders in the tech industry. Group…

Read More

Mwalimu aahidi kuondoa barabara za vumbi Dodoma

Dodoma. Mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Salum Mwalimu amesema hatapenda kuona vumbi katika Jiji la Dodoma pindi atakapokuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mwalimu ametoa ahadi hiyo leo Jumanne Oktoba 21, 2025 katika kampeni za kunadi ilani ya chama hicho ili apate ridhaa ya kuiongoza nchi. Mkutano…

Read More

WAZIRI NDEJEMBI AELEKEZA MKAZI WA KARATU MWENYE VIWANJA BLOCK “J” KUENDELEZA ENEO HILO KWA SHUGHULI ZA MAENDELEO

WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Deogratius Ndejembi ameelekeza mkazi wa Karatu mkoani Arusha mwenye viwanja Block ‘J’, Bw. Desderi Damiano kuendeleza eneo hilo kwa shughuli za maendeleo kufuatia Halmashauri ya Wilaya ya Karatu kushindwa kumlipa fidia baada ya kutwaa eneo lake. Mhe. Ndejembi ametoa maelekezo hayo wakati alipotembelea na kujionea eneo…

Read More

Tanesco kuajiri 430, wamo mafundi mchundo

Dodoma. Bunge limeelezwa kuwa watumishi 430 wataajiriwa na Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) katika mwaka 2024/25. Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema hayo leo Ijumaa Aprili 19, 2024 alipojibu swali la mbunge wa Tunduru Kusini, Daimu Mpakate. Mbunge huyo amehoji ni lini Serikali itaajiri madereva na mafundi ambao wamekuwa vibarua wa muda mrefu kwenye…

Read More

Miaka 25 ya Vodacom: Kuadhimisha Uunganishwaji Kidijital

Katika kuadhimisha robo karne ya uwepo wake nchini na mafanikio makubwa tangu kuanzishwa kwake, Vodacom Tanzania PLC imeanzisha kampeni kabambe ya nchi nzima ijulikanayo kama “Tupo Nawe, Tena na Tena.” Kampeni hii, itakayodumu kwa miezi minne, inalenga kuwakumbusha Watanzania jinsi Vodacom ilivyokuwa nao bega kwa bega katika kila hatua ya maisha yao. Kuanzia enzi za…

Read More

MO Dewji atoa kauli nzito Simba

RAIS wa klabu ya Simba, Mohamed ‘MO’ Dewji, ametoa kauli nzito kuhusiana na mechi ya pili ya fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika kupelekwa kwenye Uwanja wa New Amaan, Zanzibar, humu akiwahamasisha wanasimba kwamba mnyama atanguruma popote na Jumapili itabeba ndoo. Simba inatarajiwa kurudiana na RS Berkane ya Morocco Jumapili ya Mei 25 baada ya…

Read More

Maandalizi teknolojia mpya matibabu ya selimundu yaanza

Dodoma. Serikali imesema imeanza maandalizi ya wataalamu na teknolojia mpya ya matibabu ya ugonjwa wa selimundu kwa kutumia teknolojia ya CRISPR Cas 9 (Gene Editing). Hayo yamesemwa leo Alhamisi Februari 6, 2025, na Naibu Waziri wa Afya, Dk Godwin Mollel alipokuwa akijibu swali la msingi la Mbunge wa Kawe (CCM), Josephat Gwajima, kuhusu lini serikali…

Read More