
Shauri waumini Kanisa la Gwajima lawekewa pingamizi
Dar es Salaam. Wajibu maombi katika shauri lililofunguliwa na waumini wa Kanisa la Glory of Christ Tanzania linaloongozwa na Askofu Josephat Gwajima, wameweka pingamizi juu ya shauri hilo la kikatiba lililofunguliwa katika Mahakama Kuu, Masjala Kuu, Dodoma. Shauri hilo la maombi mchanganyiko namba 16408 limefunguliwa na Dinali Mbaga na wenzake 51 dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa…