
Lisu asema hana ubavu kuwania ubunge, Kingu atia neno
Singida. Wakati harakati za Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 zikiendelea maeneo mbalimbali nchini, mmoja wa makada wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Hamis Lisu wa Wilaya ha Ikungi mkoani Singida amesema hana nia tena ya kuwania ubunge wa Singida Magharibi. Lisu ambaye mwaka 2020 alikuwa miongoni mwa makada wa chama hicho waliojitosa kwenye kura za maoni,…