WAZIRI SILAA AZINDUA MNARA WA MAWASILIANO KATA YA MAKURU, SINGIDA.

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mheshimiwa Jerry Silaa, akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Mnara wa Mawasiliano ya simu uliojengwa katika kijiji cha Hika Kata ya Makuru, wilayani Manyoni Mkoani Singida. Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mheshimiwa Jerry Silaa,akizungumza mara baada ya kuzindua  Mnara wa Mawasiliano ya simu uliojengwa katika…

Read More

Maisha ya watoto ‘yalibadilika’ na vita kote Mashariki ya Kati, Afrika Kaskazini, anaonya UNICEF – Maswala ya Ulimwenguni

Kwa kushangaza, watoto milioni 110 katika mkoa huo wanaishi katika nchi zilizoathiriwa na vita, na nyumba, shule na vituo vya afya vilivyoharibiwa au kuharibiwa katika mapigano. “Maisha ya mtoto yanabadilishwa sawa na kila sekunde tano kutokana na mizozo katika mkoa,” Alisema Edouard Beigbeder, UNICEF Mkurugenzi wa Mkoa wa Mashariki ya Kati na Afrika Kaskazini, Jumanne….

Read More

MSAJILI WA MAHAKAMA AWATAKA WADAU HAKI JINAI KUSHIRIKIANA

Na Oscar Nkembo Msajili Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Mhe. Eva Kiaki Nkya, amezitaka taasisi zilizopo kwenye mnyororo wa haki jinai kuendelea kushirikiana ili kutoa haki kwa wakati kwani miongoni mwa nguzo muhimu za mafanikio ni ushirikiano Nkya ameyasema hayo wakati akifunga maonesho ya wiki ya Sheria kitaifa katika viwanja vya Nyerere Square jijini Dodoma…

Read More

Mtaala mpya wa elimu kufungua fursa mpya za ufundi kwa vijana

Unguja. Wakati mchakato wa kuandaa mtaala mpya wa umahiri ukiendelea, wataalamu wa elimu wamesema mtaala huo unatarajiwa kufungua fursa mpya kwa vijana kwa kuwa utawawezesha kujengwa kwa kizazi chenye uwezo wa kubuni, kutekeleza na kuendeleza shughuli za kiuchumi kwa kutumia stadi mbalimbali watakazojifunza shuleni. Katika hatua ya awali, mtaala huu umeweka msingi muhimu kwa kuanzisha…

Read More

Huyu anamkaba Gomez Wydad AC

WIKI iliyopita Singida Black Stars iliripoti kuwa imemuuza mshambuliaji wake Mtanzania Selemani Mwalimu ‘Gomez’ kwenda Wydad AC ya Morocco. Kwenye eneo la ushambuliaji, Gomez atakutana na upinzani kutoka kwa Mohamed Rayhi, raia wa Uholanzi ambaye ni chaguo la kwanza la kocha Rulani Mokwena. Rayhi ndiye kinara wa ufungaji kwenye ligi hiyo maarufu kama Botola Pro…

Read More

Fadlu ashtukia jambo, ajipanga kivingine

KOCHA wa Simba, Fadlu Davids, ameshtuka kutokana na ugumu aliokumbana nao katika mechi za ugenini hasa kwenye viwanja vigumu na kisha kupanga mikakati mipya ya kuhakikisha wanafanya mambo makubwa kuwapa burudani mashabiki na wapenzi wa timu hiyo sambamba na timu kushinda kiulaini. Simba juzi ililazimika kusubiri dakika za majeruhi kupata ushindi wa bao 1-0 dhidi…

Read More