
AKAMATWA AKIDAIWA KUJARIBU KUTEKA WATOTO WAWILI – MWANAHARAKATI MZALENDO
Kijana ambaye jina lake halikupatikana amekamatwa na wananchi na kupelekwa kituo kidogo cha polisi Tabata Kisiwani akituhumiwa kujaribu kuiba watoto waliokuwa wakienda shuleni. Tukio hilo limetokea Julai 23, 2024 baada ya wananchi wa eneo la Tabata Kisiwani kudai kijana huyo ni mgeni machoni mwao na kwamba alionekana asubuhi akiranda mtaani hivyo kutiliwa shaka….