
WAZIRI CHANA ATETA NA UJUMBE WA BENKI YA DUNIA
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo na ujumbe kutoka Benki ya Dunia ukiongozwa na Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia, Bw. Nathan Belete katika Ofisi za Wizara ya Maliasili na Utalii, jijini Dodoma leo Septemba 5, 2024. Ujumbe huo umekuja kumpatia mrejesho wa ushirikiano uliopo kati…