
DK SAMIA AACHA TABASAMU KWA WANANCHI NYASA … AHIDI MTAMBO KUKAUSHA SAMAKI MBAMBABAY
Na Said Mwishehe,Michuzi TV- Ruvuma MGOMBEA urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)Rais Dk.Samia Suluhu Hassan amewapongeza wananchi wa Mkoa wa Ruvuma kwa uzalishaji mzuri wa mazao ya biashara na chakula Ametoa pongezi hizo leo Septemba 21,2025 alipokuwa katika mkutano wa kampeni kuelekea Uchaguzi Mkuu akiwa Uwanja wa Mbambabay wilayani Nyasa mkoani Ruvuma ambapo ameeleza hatua…