
Kivu Kaskazini yakabiliwa na mlipuko wa homa ya nyani – DW – 25.06.2024
Waziri wa Masuala ya Kijamii wa Kivu Kaskazini, Prisca Luanda Kamala, amesema katika taarifa yake kuwa. “Wananchi wapendwa wa Kivu Kaskazini, serikali ya mkoa wa Kivu Kaskazini inawatangazia kuwa kuna kisa cha ugonjwa wa Monkeypox au ndui ya nyani ambacho kimethibitishwa katika eneo la afya la Karisimbi mjini Goma. Hadi sasa, visa vinane vimeripotiwa. Ugonjwa…