
MAJALIWA: SUALA LA MAZINGIRA LIWE AJENDA YA KITAIFA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipofunga Mkutano Maalum wa Viongozi , Wataalamu na Wadau wa Mazingira kuhusu Mwelekeo wa Mazingira Nchini, kwenye Kituo cha Mikutano cha Jakaya Kikwete jijini Dodoma, Septemba 10, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) ……… WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema suala la uhifadhi wa mazingira liwe ajenda ya Kitaifa…