Nabi avujisha faili la Wasauz, Fadlu ashindwe mwenyewe

KUNA sababu tatu ambazo kocha wa zamani wa Yanga, Nasreddine Nabi amezitaja ambazo zinaipa Simba nafasi kubwa ya kuitoa Stellenbosch ya Afrika Kusini. Nabi ambaye kwa sasa anaifundisha Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini, amesema anawafahamu vizuri Stellenbosch kwani hivi karibuni amecheza nao mara tatu na kuwapiga nje ndani. Kocha huyo raia wa Tunisia, katika mechi…

Read More

CAICA WAJIPANGA KUDHIBITI VIPODOZI FEKI NCHINI TANZANIA

WADAU Wa Sekta ya Urembo na Mitindo wameihimiza serikali kuweka Mazingira bora ya uwakala wa bidhaa za kimataifa za vipodozi ili kupunguza changamoto ya bidhaa bandia zinazosambazwa nchini. Akizungumza katika hafla ya ufunguzi wa tawi jipya la Duka la Dawa baridi na Vipodozi Mkurugenzi wa CAICA Pharmacy, Jackson John, amesema Kampuni yake inalenga kuwa mfano…

Read More

Waviu 23,850 wabainika kuwa na VVU hatua ya juu

Dar es Salaam. Jumla ya watu 23,850 wanaoishi na VVU (Waviu) walifika katika vituo vya kutolea huduma za afya nchini wakiwa katika hatua za juu za ugonjwa wa VVU na Ukimwi katika kipindi cha miezi sita, kuanzia Julai hadi Desemba 2024, takwimu za Wizara ya Afya zinaonyesha. Idadi hiyo ni kati ya watu waliokwenda vituo…

Read More

Benki ya Akiba yawatunuku tuzo wateja wake

Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Benki ya Akiba (ACB) imeadhimisha Wiki ya Huduma kwa Wateja kwa kutoa tuzo kuthamini mchango wa wateja wake katika utoaji huduma za kibenki. Tuzo hizo zimetolewa Oktoba 9,2024 na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Akiba, Silvest Arumasi, katika hafla iliyofanyika katika tawi la Ubungo la benki hiyo. Arumasi amewashukuru Watanzania…

Read More

Kitasa cha Simba SC chatangaza vita mpya

BEKI wa kati wa Simba, Abdulrazack Hamza amesema, anajisikia vizuri ndani ya kikosi hicho tangu ajiunge nacho msimu huu akitokea SuperSport United ya Afrika Kusini, huku akiweka wazi hahofii ushindani wa namba uliopo na kwamba amekuja kupambana na sio kuuza sura Msimbazi. Nyota huyo aliyewahi kutamba na timu mbalimbali hapa nchini zikiwemo Mbeya City, KMC…

Read More

USAID kupunguza wafanyakazi kutoka 10,000 hadi 294 duniani

Mwanza. Serikali ya Marekani imepanga kupunguza idadi ya wafanyakazi wa Shirika la Maendeleo ya Kimataifa (USAID) kutoka zaidi ya 10,000 hadi 294, hatua inayotarajiwa kuathiri shughuli zake duniani kote. Kwa mujibu wa vyanzo vya habari, ni wafanyakazi 294 pekee watakaobaki, wakiwemo 12 katika Idara ya Afrika na wanane katika idara ya Asia. Hatua hii ni…

Read More