
TBS WAENDELEA KUWANOA WAJASIRIAMALI MAONESHO YA 19 YA KIMATAIFA YA BIASHARA AFRIKA MASHARIKI MWANZA
Na Mwandishi Wetu Mwanza WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Dkt. Selemani Jafo, amelitaka Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kuendeleza jitihada za kuhakikisha wajasiriamali nchini wanafikia malengo yao. Waziri Dkt. Jafo alitoa kauli hiyo kwenye Maonesho ya 19 Kimataifa ya Biashara ya Afrika Mashariki yaliyofanyika kwenye Viwaja vya Furahisha, jijini Mwanza ambayo yalianza Septemba 6, mwaka…