
Kwa hili; kongole msajili wa vyama vya siasa
Agosti 18, 2025, Jaji Mutungi alifungua mafunzo kwa viongozi wa kitaifa wa vyama vya siasa jijini Dar es Salaam yaliyofanyika katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere. Mafunzo hayo yaliwaleta pamoja viongozi na wadau wa siasa kujadili kwa kina Sheria ya Gharama za Uchaguzi. Lengo lilikuwa kuongeza uelewa wa namna sheria hiyo inavyotekelezwa ili…