Serikali inatekeleza mradi wa ujenzi wa minara 758 utakaonufaisha wananchi Milioni 23.6 :Waziri Nape
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye (MB) amesema Serikali inatekeleza Mradi wa ujenzi wa Minara 758 unaogharimu zaidi ya Bilioni 200 utakaonufaisha wananchi Milioni 23.6 kupata huduma bora za Mawasiliano ya intaneti, data na simu. Nape amebainisha hayo alipokua Wilayani Sengerema akiendelea na ziara ya kukagua Mnara wa mawasiliano katika Kisiwa…