
RWEBANGIRA- MKAFANYE KAZI KWA WELEDI
Mjumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe.Magdalena K.Rwebangira leo tarehe 29 Aprili, 2025 ametembelea mafunzo ya watendaji wa Vituo (Waendesha vifaa vya Bayometriki na waandishi wasaidizi ngazi ya Kituo) katika Manispaa ya Sumbawanga kuona namna mafunzo hayo yanavyofanyika. Mhe.Rwebangira amewataka watendaji hao kuzingatia mafunzo, ili wakatekeleze majukumu waliyoaaminiwa na Tume kwa umakini na…