
MWENYEKITI COREFA AJIFUNGA MKANDA KUFUFUA SOKA LA UFUKWENI PWANI
Chama cha soko Mkoa wa Pwani (COREFA) katika kuunga mkono juhudi za Rais wa awamu ya sita Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kukuza sekta ya michezo hapa nchini imeamua kuweka mikakati kabambe ambayo itaweza kusaidia kuinua kiwango cha kabumbu kwa kuinua soka la vijana, wanawake, pamoja na soka la ufukweni sambamba na ujenzi wa kiwanja…