
Usafi waendelea Soko la Mashine lililoungua, Chadema watoa pole
Iringa. Soko la Mashine Tatu lililopo Halmashauri ya Manispaa ya Iringa, limeanza kufanyiwa usafi baada ya kuungua Julai 12,2025 huku Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Wilaya ya Iringa, Frank Nyalusi akitembelea waathirika. Nyalusi ametembelea eneo hilo na kutoa pole kwa waathirika na wakazi wa jirani walioguswa na athari za moto huo. Nyalusi…