
Treni ya SGR yabuma tena Morogoro
WAKATI Rais Samia Suluhu Hassan leo Alhamisi akizindua rasmi huduma za usafiri wa reli ya kisasa (SGR), treni iliyokuwa imebeba wageni walioshiriki uzinduzi huo wakiwamo mabalozi na abiria kutokea mkoani Dodoma, imepata tena hitilafu karibu na Stesheni ya Morogoro kwa zaidi saa moja sasa. Treni hiyo iliyoanza safari 2:10 jijini Dodoma, imekwama kwa zaidi ya…