
BODI YA WADHAMINI YA SHIRIKA LA HIFADHI ZA TAIFA TANZANIA WACHOTA UJUZI UTALII WA KIHISTORIA – ZANZIBAR
Na Philipo Hassan – Zanzibar Bodi ya Wadhamini ya Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) ikiongozwa na Mwenyekiti wa Bodi, Jenerali (Mstaafu) George Waitara, jana Desemba 18, 2024 walitembelea maeneo mbalimbali ya utalii Visiwani Zanzibar kwa lengo la kujifunza utalii wa visiwa, kihistoria na malikale. Ziara hiyo yenye lengo la kujifunza masuala ya utalii…