
Miti ilivyozalisha majina ya maeneo maarufu
Dar es Salaam. Miti ina faida chekwa. Kama ulidhani miti inatupatia kivuli, matunda na hata dawa pekee, utakuwa umekosea sana. Miti ni zaidi ya hayo. Tanzania ina utamaduni wa kipekee hasa katika utoaji wa majina ya maeneo. Utamaduni huu ni wa kutumia majina ya miti kuwakilisha maeneo. Ndio maana unaposikia maneno kama Mnazi Mmoja, Mkwajuni,…