Aliyeua mke bila kukusudia jela miaka mitano

Arusha. Mahakama Kuu Masijala Ndogo ya Sumbawanga imemhukumu adhabu ya kifungo cha miaka mitano jela, Paulo John (40), baada ya kumkuta na hatia ya kumuua mkewe Helena Elias, bila kukusudia. Hukumu hiyo imetolewa Machi 3, 2025 na Jaji Abubakar Mrisha na nakala yake kupatikana jana kwenye mtandao wa mahakama. Paulo alikutwa na hatia baada ya…

Read More

Nida kuwafikia wasiochukua vitambulisho kidijitali

Dar es Salaam. Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (Nida), imeanza kufanya mazungumzo na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), kuja na mfumo wa kidijitali ili kuwafikishia vitambulisho Watanzania milioni 1.2 ambao hajavichukua. Wakati hatua hizo zikichukuliwa, tayari Nida imeanza kuvikusanya vitambulisho ambavyo havijachukuliwa kwa wilaya ya Temeke mkoa wa Dar es Salaam na kuandaa utaratibu wa…

Read More

Lupaso imechangamka | Mwanaspoti

WAKATI tamasha la Simba Day likifikia kilele leo, mashabiki wa timu hiyo wamejitokeza kwa wingi kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam. Tamasha hilo linafanyika leo likiwa ni msimu wa 17 tangu lilipofanyika kwa mara ya kwanza mwaka 2009, chini ya uongozi wa Hassan Dalali na Mwina Kaduguda. Nje ya Uwanja wa Benjamin…

Read More

Simba Tanga wachangia damu | Mwanaspoti

WAKATI Simba ikizindua wiki ya tamasha la kila mwaka ‘Simba Day’ leo Jumatano katika Hifadhi ya Taifa ya Mikumi, Morogoro, mashabiki wa timu hiyo wa mkoani Tanga wanatarajia kuchangia damu kwa ajili ya kuwasaidia wagonjwa wenye uhitaji. Akizungumza na Mwanaspoti, Mwenyekiti wa Matawi ya Simba Tanga, Edgar Mdime amesema imekuwa ni desturi yao kila mwaka…

Read More

Heche alivyopokelewa kijijini kwao, matumaini ya vijana

Tarime. Maelfu ya wanachama, wapenzi na wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) pamoja na wakazi wa Tarime na maeneo jirani wamekusanyika nyumbani kwa Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara, John Heche kumpongeza kwa kuchaguliwa kushika wadhifa huo. Heche alichaguliwa Januari 21, mwaka huu akiwashinda wenzake, Matharo Gekul aliyepata kura 49 na Ezekia Wenje aliyepata…

Read More

AbalKassim apotezea ushindi wa TZ Prisons

FOUNTAIN Gate juzi ilipoteza mechi ugenini mbele ya Tanzania Prisons iliyowanyoa mabao 3-2 kwenye Uwanja wa Sokoine, jijini Mbeya, lakini kiungo mshambuliaji wa timu hiyo, Abalkassim Suleiman amesema hakuna walichowazidiwa na wenyeji wao licha ya kupoteza pambano hilo.Hilo lilikuwa pambano la pili kwa Fountain kupoteza ugenini baada ya awali kuchapwa mabao 4-0 na Simba, huku…

Read More

Ibenge: Wiki mbili tu zinatosha

KOCHA Mkuu wa Azam FC, Florent Ibenge amesema wiki mbili jijini Arusha zitatosha kutoa uelekeo wa maandalizi ya msimu mpya, huku akiweka wazi ameona mwanga baada ya kukuutana na wachezaji  na kuzungumza na mmoja mmoja. Azam kabla ya kuondoka jijini mapema leo kwenda Arachuga, walikuwa na siku tatu za maandalizi ambapo kocha alipata nafasi ya…

Read More