
TBS YASHIRIKI MAONESHO WIKI YA UTUMISHI WA UMMA
AFISA Rasilimali Watu kutoka Shirika la Viwango Tanzania (TBS) Bi.Faidha Nyenzi,akitoa elimu kwa wananchi waliofika katika banda la TBS katika Maonesho ya wiki ya Utumishi wa Umma 2024 yanayoendelea Viwanja vya Chinangali jijini Dodoma. MKURUGENZI wa Rasilimali Watu na Utawala kutoka Shirika la Viwango Tanzania (TBS) Bi.Viola Masako, akizungumza na waandishi wa habari kwenye banda…