
Romain Folz aja na testi mpya ya Pacome, Ecua
KOCHA wa Yanga, Romain Folz bado anaendelea kukijenga kikosi cha timu hiyo mdogomdogo na jana asubuhi kilikuwa pale Fukwe za Coco, jijini Dar es Salaam. Yanga ilikuwa hapo kwa takribani saa mbili ikiwa na mastaa wake wote wakiwemo viungo Moussa Bala Conte, Pacome Zouzoua na Ecua Celestine, lengo likiwa ni kufanya mazoezi ya ufukweni kuongeza…