Nyamanzi City, Kundemba FC zaanza vizuri Yamle Yamle Cup
TIMU ya Kajengwa FC imeibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya wapinzani wao Mborimborini FC katika mashindano ya Yamle Yamle Cup yanayoendelea kisiwani Unguja huku yakichezwa kwenye Uwanja wa Mao A na Mao B. Mechi hiyo iliyochezwa jana Jumatatu Julai 14, 2025 kwenye Uwanja wa Mao A majira ya saa 10 jioni, Khamis Abdallah…