
Minziro kiroho safi Kagera | Mwanaspoti
KOCHA Mkuu wa Kagera Sugar, Fredy Felix ‘Minziro’ amesema mechi tatu wanazocheza Uganda ni kipimo tosha cha wao kumkabili bingwa mtetezi Yanga kwenye mchezo wa kwanza wa Ligi Agosti 16 kwenye uwanja wao wa nyumbani. Kagera juzi ilijipima nguvu na Wahiso Giants na kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 yakifungwa na Cleophas Mkandala na Deogratias…