
NAIBU WAZIRI WA UCHUKUZI ATEMBELEA MAKAMPUNI YA UWAKALA WA MELI
Naibu Waziri wa Uchukuzi David Kihenzile akutana na kuzungumza na Viongozi Makampuni ya Uwakala wa Meli ya Nyota Tanzania LTD (MAERSK Tanzania) na Sturrock Flex Shipping LTD jijini Dar es Salaam. Katika mazungumzo yake ametumia fursa hiyo kuwaeleza kuhusu maboresho mbalimbali yanayofanywa na Serikali katika Miundombinu ya Bandari ikiwemo Dar es Salaam, Tanga, Mtwara na…