
MFUMO ULIOBORESHWA WA TANCIS KUBORESHA TARATIBU ZA FORODHA NCHINI.
Na Karama Kenyunko Michuzi Tv MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imesema mfumo mpya wa Tanzania Customs Integrated System (TANCIS) utarahisisha uingizwaji wa bidhaa kutoka nje ya nchi na kuingia ndani kwa haraka, jambo litakalosaidia kukuza uchumi wa mtu mmoja mmoja na watafanyakazi mchana na usiku. Mfumo huo uliozinduliwa hivi karibuni umebuniwa kuboresha ufanisi, kuhakikisha usahihi,…