
DKT MPANGO AWATAKA WANAMICHEZO KULETA USHINDA TANZANIA
::::: Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango ametoa wito kwa wanamichezo kushiriki mashindano ya Jumuiya ya Madola kama washindani wa kweli ambao wataonesha vipaji na kuiletea Tanzania heshima. Makamu wa Rais ametoa wito huo wakati akipokea Kifimbo cha Mfalme wa Uingereza kuelekea Mashindano ya Michezo ya Jumuiya ya…