
Sudan hali ni mbaya na hakuna ishara ya vita kumalizika – DW – 05.11.2024
Wapiganaji wa RSF wamevamia miji kadhaa katika jimbo la Gezira, kusini mwa mji mkuu wa Sudan, Khartoum na kuwaua kikatili takriban raia 120 katika mashambulizi ya mfululizo katika maeneo hayo. Hayo ni kulingana na ripoti tofauti za vyombo vya habari na Umoja wa Mataifa huku vyanzo vingine, vikisema mamia ya watu wamejeruhiwa kutokana na mashambulizi…