
Chalamila aagiza mama anayeidai Hospitali ya Amana alipwe
Dar es Salaam. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amewataka wakazi wa mkoa huo kutokubali kufanya biashara na taasisi yoyote ya Serikali bila kuwa na mkataba na nyaraka rasmi za makabidhiano ya huduma iliyotolewa. Amesema hatua hiyo itaepusha migogoro kati ya wananchi na taasisi za Serikali ambazo wanafanya nazo biashara, kama ilivyotokea…