
HAKIMI ATOA MISAADA YA ZAIDI YA BILIONI MOJA KWA WANAFUNZI WENYE MAHITAJI MAALUM
Na John Mapepele Mchezaji wa kimataifa wa soka kutoka Morocco anayechezea timu ya PSG, Archraf Hakimi leo ametoa msaada wa vifaa mbalimbali kwa wanafunzi zaidi ya 400 wenye uhitaji maalum kwenye shule ya Sekondari ya Patandi ya jijini Arusha vyenye gharama ya zaidi ya bilioni moja. Baadhi ya vifaa hivyo ni pamoja na komputa zaidi…