
Mtoto afariki, wengine watatu walazwa wakidhaniwa kula sumu wakati wakicheza
Dodoma. Mtoto Jayson James mwenye umri wa miaka miwili na nusu, amefariki dunia na wenzake watatu wanaendelea na matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma, baada ya kula kitu kinachodhaniwa kuwa ni sumu wakati wakiwa wakicheza kwenye korongo lililopo jirani na nyumba yao. Tukio hilo lilitokea jana, Januari 12, 2025, kwenye Mtaa wa…