NACTVET YATOA MAFUNZO YA UTHIBITI UBORA KWA VYUO KANDA YA MASHARIKI
………………. Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET) limetoa mafunzo kwa Maafisa wa Uthibiti Ubora, Wakuu wa Vyuo na Wakuu wa Idara kutoka vyuo vya elimu ya ufundi na mafunzo ya ufundi stadi katika Kanda ya Mashariki, kwa lengo la kuongeza ufanisi katika usimamizi wa vyuo hivyo na kuhakikisha…