Infinix yazindua simu ya  HOT 50 Pro+ nchini Tanzania

Ukurasa mpya wa Simu Mahiri Nyembamba, Imara, na Zenye Utendaji Bora Wakati BillNass na Wasanii kibao wakilipamba Jukwaa Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Infinix mobile, kampuni ya teknolojia ya kimataifa inayoongoza na inayoibuka kwa kasi, hatimaye imezindua Mfululizo wa HOT 50, vifaa vya simu mahiri ambavyo ni hatua muhimu katika mageuzi ya simu mahiri nchini…

Read More

TARURA yakerwa na wananchi ya utupaji taka ovyo katika mitaro ya miundombinu ya barabara

Kaimu Meneja Wakala ya Barabara Vijijini na Mijini (TARURA) Kutoka Dodoma jiji Mhandisi Kasongo Molijo akisikiliza wananchi Waliotembelea Banda la TARURA (hawapo pichani) katika Maonesho ya Kilimo Kitaifa Nane Nane yanayoendelea katika viwanja vya Nzuguni jijini Dodoma. Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) Bi. Catherine Sungura…

Read More

KOCHA CISSE BADO YUPO SANA SENEGAL – MWANAHARAKATI MZALENDO

  Shirikisho la soka la Senegal (FSF) linataka kumuongeza mkataba Kocha, Aliou Cissé hadi fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 nchini Morocco. Cissé ambaye amekuwa ofisini tangu Machi 2015, ndiye Kocha aliyekaa muda mrefu zaidi katika historia ya Senegal. Mkataba wake wa sasa unamalizika mwishoni mwa Agosti. Licha ya kuondolewa kwa Senegal…

Read More

Pamba Jiji yatuma ujumbe kwa waamuzi Ligi Kuu

Pamba Jiji imetuma ujumbe kwa waamuzi wa Ligi Kuu Bara ikionyesha masikitiko juu ya vitendo vya baadhi ya waamuzi kulazimisha matokeo yanayozifurahisha baadhi ya timu na kuziumiza nyingine. Kauli hiyo imekuja siku moja baada ya timu hiyo kunyimwa bao lililofungwa na Salehe Masoud kwenye mchezo dhidi ya Azam FC uliopigwa Februari 9, mwaka huu, kwenye…

Read More

Mtanzania abuni teknolojia ya kupika kwa bei chee

Dar es Salaam. Kama ulidhani kuwa kupika kwa umeme ni ghali, huenda ulikosea. Teknolojia mpya iliyozinduliwa na kampuni inayomilikiwa na Watanzania itawawezesha kutumia Sh500 kulipia umeme utakaotosha kupikia kwa siku nzima. Teknolojia hiyo inahusisha matumizi ya sufuria za umeme zinazopika kwa haraka (pressure eCookers), ambazo zina uwezo wa kipekee kuhakikisha kuwa chakula kinakuwa tayari kwa…

Read More