
Utoro chanzo cha ufaulu mdogo Geita
Geita. Wakati kiwango cha ufaulu kwa wanafunzi wa shule za sekondari mkoani Geita kikiwa chini ya asilimia 40, utoro wa wanafunzi, umetajwa kuwa sababu kubwa inayochangia mkoa huo kuwa chini kitaaluma kukiwa na kundi kubwa la watoto wanaojihusisha na shughuli za uzalishaji mali na kuacha kuhudhuria masomo. Taarifa ya elimu ya mkoa huo imeweka wazi…