
Mabalozi kutoka nchi mbalimbali waahidi kuisaidia Tanzania kutangaza vivutio vya utalii
Na Mwandishi Wetu -Arusha. Mabalozi wanaowakilisha nchi mbalimbali pamoja na mashirika ya kimataifa wameonesha kuvutiwa na vivutio vilivyoko nchini huku wakiahidi kuiongezea nguvu Tanzania katika kutangaza vivutio hivyo katika nchi zao. Wakizungumza jana kwenye hafla ya chakula cha jioni kilichoandaliwa na Benki ya NMB kwa kushirikiana na Wizara ya mambo ya nje na ushirikiano wa…