
Ally Salim apewa mmoja Dodoma Jiji
KIPA mpya wa Dodoma Jiji, Ally Salim amesaini mkataba wa mwaka mmoja ambao una kipengele cha kuongezewa mwingine endapo akionyesha kiwango cha juu kuisaidia timu hiyo. Kigogo mmoja wa timu hiyo (jina tunalo) alisema sababu ya kumsainisha kipa huyo mwaka mmoja ilitokana na muda mfupi wa kufanya makubaliano ya baadhi ya mambo, hivyo wakaona bora…