HakiElimu na ALI For Impact Waibuka na Mpango Kuibua Viongozi Chipukizi Mashuleni

Katika kuhakikisha taifa linapata viongozi bora wa kesho, taasisi zisizo za kiserikali za HakiElimu na The African Leadership Initiative For Impact (ALI For Impact) zimezindua programu maalum ya kuwawezesha vijana walioko mashuleni kupata maarifa na ujuzi wa uongozi. Mpango huu mpya unalenga kuwa chachu ya mabadiliko kwa kuwapa wanafunzi nafasi ya kutambulika, kuendelezwa na hatimaye…

Read More

MAADHIMISHO YA MAULIDI KUFANYIKA KITAIFA GEITA.

Maadhimisho ya kitaifa ya maulid ya kuzaliwa kwa mtume Muhammad yanatarajiwa kufanyika usiku wa septemba 15/16 katika viwanja vya CCM kalangalala mkoani Geita. Akitoa taarifa hiyo sheikh mkuu wa mkoa alhaji Yusuph Kabaju mbele ya waandisishi wa habari alisema kuwa maulid hiyo inatarajiwa kuwa ya kipekee ambayo itatambulika kama Maulid ya dhahabu ambayo itakutanisha makundi…

Read More

TANI 2302.37 ZA BANGI ZAKAMATWA

……….. Na Ester Maile Dodoma  Bangi imeendelea kuwa dawa ya kulevya iliyokamatwa nchini kwa kiwango kikubwa kwa mwaka 2024 ikiwa ni jumla ya tani 2,302.37. Hayo yameelezwa mbele ya waandishi wa Habari jijini Dodoma na  William Lukuvi, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, (Sera, Bunge na Uratibu)  “leo June 23,2025 amesema kuwa”kati ya hizo,…

Read More

FBI YACHUNGUZA MADAI YA UDUKUZI WA TAARIFA ZA TRUMP, BIDEN – MWANAHARAKATI MZALENDO

Shirika la upelelezi la Marekani, FBI, linachunguza kile kinachoshukiwa kuwa majaribio ya udukuzi yanayodaiwa kufanywa na Iran, yaliowalenga washauri wa kampeni ya Democratic ya Rais Joe Biden na Makamu wa Rais Kamala Harris, na mshirika wa mgombea wa chama Republican Donald Trump. Gazeti la Washington Post limeripoti jana kuwa uchunguzi huo wa FBI ulianza mwezi Juni,…

Read More

Dk Mwinyi: Tutadhibiti Zanzibar kuwa dampo la bidhaa chakavu

Unguja. Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amesema Serikali itaendelea kufanya juhudi na kuchukua hatua za makusudi kuhakikisha nchi na wananchi wanakuwa salama, badala ya kuendelea kuwa dampo la bidhaa zisizokuwa na ubora. Dk Mwinyi ametoa kauli hiyo leo Jumanne Agosti 6, 2024 alipofungua kituo cha ukaguzi wa vyombo vya moto katika Taasisi ya Viwango…

Read More

Dar City yachemsha kwa maafande BD

TIMU ya JKT iliwashangaza wengi pale ilipoifunga timu ngumu ya Dar City kwa pointi 83-66 katika ligi ya kikapu mkoa wa Dar es Salaam (BD) iliyofanyika kwenye Uwanja wa Donbosco Oysterbay. Dar City itabidi ijilaumu yenyewe kupoteza mchezo huo kutokana na kushindwa kutegua mfumo wa uchezaji uliotumiwa na timu ya JKT. Mfumo uliotumiwa na JKT…

Read More