Ufudu ajilipua Mashujaa | Mwanaspoti

BAADA ya kudumu Kagera Sugar kwa miaka minne, Julai 7, mwaka huu kiungo, Ally Nassoro Iddi ‘Ufudu’ alitua Mashujaa FC ya Kigoma akisaini mkataba wa mwaka mmoja, huku akifichua siri ya kujiunga na maafande hao na yuko tayari kupambania namba kikosini hapo. Ufudu ni usajili wa kwanza kutambulishwa na Mashujaa kwenye dirisha hili akifuatiwa na…

Read More

Mzee Msuya anavyokumbukwa kama kiraka cha nyakati ngumu

Dar es Salaam. Umahiri wa uongozi katika nyakati ngumu kiuchumi, ni moja kati ya sifa nyingi zitakazokumbukwa daima katika utumishi wa Makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu mstaafu, Cleopa Msuya (94) kwa nafasi mbalimbali alizohudumu. Kwa mujibu wa viongozi mbalimbali wa Serikali, Mzee Msuya ndiye kiongozi aliyeteuliwa kuiongoza Wizara ya Fedha baada ya…

Read More

Hersi ajitia kitanzi kwa Aziz KI

RAISI wa Yanga, Injinia Hersi Said amewahakikishia mashabiki wa Yanga leo Jumapili kwenye sherehe za ubingwa za timu hiyo kuwa hakuna mchezaji muhimu hata mmoja  katika kikosi chao  ambaye ataondoka mwishoni mwa msimu. Hersi amesema hayo kuzima uvumi wa nyota Stephane Aziz KI ambaye amekuwa akihusisha na vigogo mbalimbali wa soka ndani na nje ya…

Read More

Samatta arudishwa Stars kuivaa DR Congo

KAIMU kocha mkuu wa timu ya Taifa Stars, Hemed Morocco ametangaza kikosi cha wachezaji 23 watakaoshiriki katika maandalizi ya michezo miwili ya kuwania nafasi ya kufuzu fainali za Mataifa ya Afrika (Afcon 2025) dhidi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DR Congo).  Tanzania ambayo ipo kundi H ikiwa na pointi nne baada ya kutoka suluhu…

Read More