Kwa nini waishiwa wasiwe madoktari au wabukuzi

Kaya yetu si ya watata wala haihitaji utata, kuringa, na kuringishiana ujuha. Ni kaya ya mafyatu. Hii inatosha. Siku hizi, kila fyatu anataka aitwe ama doktari au profedheha hata kama hajui kusoma na kuandika ilimradi tu ujiko na kujimwambafy. Hawajui wanavyotusononesha sie tusiobahatika kuwa madoktari wala maprofedheha ingawa ukiwauliza wamefanya nini cha mno, wote ngoma…

Read More

Sababu Waislam kuchinja Sikukuu ya Eid Udh-hiya

Ibada ya kuchinja (Udh-hiya) ni miongoni mwa alama kuu za Uislamu, ambapo Muislamu anakumbushwa kumwamini Allah Mtukufu kwa kumtakasia ibada, kumshukuru kwa neema Zake, na kufuata utiifu wa Baba yetu Ibrahim (Amani iwe juu yake) kwa Mola wake. Ibada hii ina baraka nyingi na kheri, hivyo ni Sunna iliyosisitizwa kwa Muislamu kuipa umuhimu na kuiheshimu….

Read More

Taasisi za Serikali zapeana nyenzo kuboresha utendaji wake

Dodoma. Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mohammed Abdulla, amekabidhi kompyuta mpakato (laptop) 30 kwa Wakili Mkuu wa Serikali, Dk Ally Possi ili ziwasaidie katika kukamilisha majukumu yao kwa wakati. Taarifa iliyotolewa na kitengo cha Habari kutoka Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, inaonyesha makabidhiano hayo yalifanyika jana Alhamisi Agosti 27,2025…

Read More

Kwa KenGold ngoja tuone | Mwanaspoti

LICHA ya KenGold kuendelea kuwa kwenye hatari ya kushuka daraja haijawa ishu kwa kiungo Zawadi Mauya anayeamini bado timu hiyo ina nafasi kubwa ya kusalia Ligi Kuu. Mauya amesema kinachotakiwa kwa sasa wao kama wachezaji kuongeza umakini katika kusaka ushindi kwenye mechi zilizosalia. Timu hiyo ambayo jana ilicheza dhidi ya Azam kwenye Uwanja wa Sokoine…

Read More

IGP WAMBURA AKAGUA MIRADI YA UJENZI RUFIJI

Matukio mbalimbali Pichani yakimuonesha Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Camillus Wambura, akikagua Mradi wa Ujenzi wa jengo la Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Rufiji ambalo ujenzi wake bado unaendelea. Baada ya ukaguzi huo IGP Wambura pia alizungumza na maofisa, wakaguzi na askari wa vyeo mbalimbali ambapo aliwataka kuendelea kutekeleza majukumu yao ya…

Read More

Serikali inaendelea kuboresha sekta ya afya -Dk. Biteko

Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko, amepongeza juhudi za Serikali katika kuboresha sekta ya afya, akibainisha kuwa miradi mingi imeanzishwa ili kuongeza ufanisi wa huduma na kuboresha maisha ya Watanzania. Dk. Biteko alitoa kauli hiyo Novemba 1, 2024, akiwa Sengerema mkoani Mwanza, alipomwakilisha Rais wa Jamhuri…

Read More

Bosi mpya Geita ataja vipaumbele

SIKU chache baada ya kuapishwa kuendelea kuiongoza Chama cha Soka cha Geita kwa muhula mwingine kama  Mwenyekiti, Salum Kulunge ameanika vipaumbele 10 vya kufanyia kazi huku namba moja ikiwa ni kuendeleza soka la vijana ili kuzalisha wachezaji wengi. Katika uchaguzi huo uliofanyika mjini Geita, Domisian Butula na Kassim Nangale walishinda nafasi ya ujumbe wa Kamatiya…

Read More