
Polisi yatumia mabomu ya machozi kutawanya waumini wa Askofu Gwajima, KKAM
Dar es Salaam. Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limetumia mabomu ya machozi kutawanya waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima linaloongozwa na Askofu Josephat Gwajima na wale wa Kanisa la Kiluthel Afrika Mashariki (KKAM). Waumini hao waliungana na kuendelea na ibada leo Jumapili Juni 29, 2025 kwenye kanisa la KKAM lilipo katikati ya…