Msaada wa kuongezeka kwa Gaza unaendelea, timu za UN zinatanguliza mahitaji ya haraka – maswala ya ulimwengu

Wakati wa ripoti kwamba kurudi kwa vita kamili mwishoni mwa wiki kunaweza kuzuiliwa na tangazo la Hamas kwamba litafuata kutolewa kwa mateka wa Israeli, Ofisi ya UN kwa Uratibu wa Masuala ya Kibinadamu (Ocha) alisema kuwa timu za misaada zilikuwa “zinachukua kila fursa” kutoa unafuu mwingi iwezekanavyo kwa Wagazani katika hitaji kubwa. Akiongea kutoka Gaza…

Read More

Samia ataja mikakati Tanzania kupata nishati safi

Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan ametaja mikakati ya kuhakikisha kuwa Tanzania inakuwa na nishati safi kwa lengo la kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi, ikiwa pamoja na kuhakikisha wananchi wote wanafikiwa na umeme. Ameyasema hayo leo Novemba 29, 2024 alipokuwa akishiriki mjadala wa wakuu wa nchi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) jijini…

Read More

Rais Mwinyi awasili nchini Qatar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi ameondoka Zanzibar na kuwasili Doha,Qatar ambapo anatarajia kushiriki katika Mkutano wa Kimataifa wa kutimia miaka Thelathini ya Familia Duniani utakaofanyika tarehe 29 hadi 31 Oktoba 2024 nchini Humo. Mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Hamad Rais Dk.Mwinyi na…

Read More

KenGold yawaganda mastaa, yaahidi kurudi upya Ligi Kuu

PAMOJA na kukubali kushuka daraja, kocha mkuu wa KenGold, Omary Kapilima amesema wanafanya kila linalowezekana kuwashawishi mastaa waliofanya vizuri kikosini ili wabaki nao kwa ajili ya kupambana katika Ligi ya Championship kwa lengo la kurudi upya katika Ligi Kuu Bara. KenGold imeshuka daraja baada ya kushiriki Ligi Kuu msimu mmoja tu na sasa wanasubiria kucheza…

Read More

Mwalimu ajinyonga akidaiwa kuliwa Sh1 milioni kwenye Aviator

Nyamira. Mwalimu wa sekondari ya Wavulana ya Nyamira nchini Kenya, amekutwa amefariki kwa kujinyonga nyumbani kwake. Mwalimu huyo aliyetambulika kwa jina la Kevin Omwenga mwili wake ulipatikana ndani kwake jana Alhamisi Juni 7, 2024, huku ikidaiwa kuwa alipoteza Ksh50,000 (Sh1 milioni) kwenye kamari maarufu kama aviator au kindege. Msaidizi wa chifu wa eneo hilo, Johnson…

Read More

WAWEKEZAJI BIASHARA YA KABONI WAANZA KUMIMINIKA NCHINI

Mwandishi Wetu, Dar e Salaam. Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni amekutana na kufanya mazungumzo na wadau wa Biashara ya Kaboni kutoka nchini Korea ambao wameonesha nia ya kuja kuwekeza nchini katika biashara hiyo. Kikao hicho kimefanyika Dar es Salaam, Julai 15, 2025 ambapo Waziri…

Read More