BAKARI KIMWANGA ACHUKUA FOMU KUWANIA UDIWANI KATA YA MAKURUMLA,AAHIDI MAENDELEO

:::::::::: Na Mwandishi Wetu MGOMBEA wa nafasi ya udiwani Kata ya Makurumla iliyopo Magomeni mkoani Dar es Salaam kwa tıketi ya Chama Cha Mapinduzi(CCM)Bakari Kimwanga amechukua fomu ya kugombea nafasi hiyo huku akiahidi kuendelea kushirikiana na wana Makurumla kukamilisha miradi ya maendeleo. Akizungumza leo Agosti 19,2025 Bakari Kimwanga amesema wanachama wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) wakiongozwa…

Read More

Equity Bank Yaleta Mwanga Mpya kwa Wafanyabiashara Kupata Mikopo

Benki ya Equity imeandaa kongamano maalum kwa ajili ya wafanyabiashara na wajasiriamali, likiwa na lengo kuu la kuwajengea uwezo wa namna ya kukuza biashara na kupata fursa za kifedha kupitia mikopo. Kongamano hili limekusanya wadau mbalimbali kutoka sekta ya biashara na fedha kwa ajili ya kujadili changamoto zinazowakabili wafanyabiashara wengi nchini, hususan tatizo la kutopata…

Read More

Kibano wakwepa kodi kulipa mamilioni

Shinyanga.  Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesema mtu yeyote atakayeingilia mfumo wa Mamlaka hiyo bila idhini adhabu yake kwa mtu binafsi ni kuanzia Sh20 milioni na kwa kampuni Sh60 milioni kutokana na kuisababishia hasara Serikali. Hayo yameelezwa leo Agosti 19 na Ofisa Mkuu msimamizi wa kodi TRA, Hamad Mterry wakati akizungumza na wafanyabiashara ambao ni…

Read More

Hizi hapa fursa za kiuchumi za uchaguzi mkuu

Dar es Salaam. Ukiacha mbilinge za kisiasa, vijembe na vituko katika majukwaa ya kampeni kuelekea uchaguzi mkuu, tukio hilo limebeba pia fursa za kiuchumi na biashara kwa wananchi. Kwa mujibu wa wadau mbalimbali wa biashara, tukio la uchaguzi linapaswa kutazamwa kwa jicho mtambuka, kwani linabeba fursa za kiuchumi na kibiashara, ambazo zinaweza kuwakwamua watu. Kuchapisha…

Read More

Waandishi, wadau wa habari wamlilia Sharon, wamtaja mwalimu aliyeondoka

Dodoma. Mwandishi mwandamizi wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL), Sharon Sauwa amefariki dunia. Sharon amekutwa na umauti alfajiri leo Agosti 19, katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili alipokuwa amelazwa kwa matibabu. Kifo chake kimepokewa kwa mshtuko na wanahabari wenzake na wadau wa habari, ambao wamemweleza kama mtu aliyekuwa mwalimu na kiongozi wa kipekee katika…

Read More

Kesi anayedaiwa kujifanya ofisa polisi yakwama

Dar es Salaam. Kesi ya kujitambulisha kuwa ni askari polisi inayomkabili mfanyabiashara Msafiri Maulid (48), imeshindwa kuendelea na usikilizwaji, baada ya upande wa mashtaka kutokuwa na shahidi. Maulid, maarufu kama Msafiri Mahita na mkazi wa Mbezi Juu, anakabiliwa na shtaka moja la kujitambulisha kwa kepteni wa JWTZ kuwa yeye ni askari polisi na kuongozana na…

Read More

JACKLINE ISARO ACHUKUA FOMU RASMI KUGOMBEA UDIWANI NGOKOLO

Mgombea Udiwani Mteule Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Ngokolo, Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga, Jackline Isaro, akipokea Fomu za Uteuzi za kugombea nafasi ya Udiwani kutoka kwa Msimamizi wa Uchaguzi kata ya Ngokolo Jacob Mwakaluba (kushoto). Na Kadama Malunde – Malunde 1 blog Mgombea Udiwani Mteule Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Ngokolo, Halmashauri…

Read More