Kombo wa Chadema aliyepotea akashtakiwa, aachiwa
Dar es Salaam. Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mkoani Tanga, Kombo Mbwana aliyekuwa mahabusu kwa zaidi ya miezi minne baada ya Mahakama ya Wilaya ya Tanga kumnyima dhamana, amerejea uraiani kwa kulipa faini ya Sh85,000. Kombo ambaye ni Ofisa Habari wa Chadema Mkoa wa Tanga alikuwa anakabiliwa na kesi ya jinai, katika…